ABOUT US

UTANGULIZI
Kwa jina naitwa Lewis Mbonde ni muanzilishi wa Habarika Globu.Huu ni  mtandao wa kijamii unaotoa habari mbalimbali zinazoihusu jamii nzima duniani.Niliuanzisha rasmi julai mwaka 2012 dhumuni kuu likiwa nikuiunganisha jamii nzima duniani mijini na vijijini kuweza kujua yanayojiri katika nchi mbali mbali.

MAONO YA SASA

Kuifikishia jamii habari makini na za ukweli zinazoelimisha na kuburudisha za ndani na nje ya nchi

DIRA

Ni kuwa mtandao bora Tanzania unaotoa habari makini na za ukweli kwa jamii zinazoihusu nchi yetu na nchi za nje

KAULI MBIU.

"Sisi ni jamii moja tupeane habari" we are under the same community Lets be connected


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM