Sunday, 17 June 2018

BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI


Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano tanzania (TCRA), Blogu ya LEWIS MBONDE BLOG imesitisha kuchapisha habari mbalimbali za jamii kupitia njia ya mtandaoni.

Kanuni ya maudhui ya kimtandao ya mwaka 2018 inayowataka wachapishaji wa maudhui kwa njia ya Blogu na majukwaa ya kimtandao kusajiliwa TCRA na kupata leseni kulingana na gharama zilizobainishwa.

Kwa sasa huduma ya kuchapisha maudhui katika Blogu ya LEWIS MBONDE BLOG imesitisha rasmi leo Juni 12/ 2018 hadi hapo taratibu za kisheria zitakapo kamilika na haijulikani ni lini itarehea kutoa huduma.

Imetolewa na Mmiliki wa LEWIS MBONDE BLOG, leo Juni 12 mwaka 2018.

Asantes by.....

Lewis Mbonde, Morogoro. 

 

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM