Monday, 22 January 2018

Kali Ya Mwaka! Jamaa Avaa Mikanda Sita, Suruali 1 Kwa Miaka 5


KALI YA MWAKA! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kijana mmoja mkazi wa Mbagala aliyefahamika kwa jina la Samiru a.k.a Mikanda Sita anayedai ni mbunifu wa mavazi anayeshangaza wengi kwa kuvaa mikanda sita kwenye suruali moja.
Ni takribani miaka 5 sasa kijana huyo anavaa anaishi na staili yake hiyo ya kuvaa mikanda sita kiunoni katika suruali moja.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM