Sunday, 13 August 2017

PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA

TRENI YA ANGA: Wakati Tanzania ikitarajia kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge), nchi ya China inafanya majaribio ya treni ya anga ambayo inatajwa kuwa na kasi zaidi nchini humo.
Uzinduzi wa treni hiyo ya kipekee ambayo inaning’inia angani, unafanyika Mashariki mwa jimbo la Shandong na inakwenda kwa kasi ya kilometa 70 kwa saa.
Mandhari ya ndani ya treni hiyo inaelezwa kuwa ni ya kuvutia, na ina uwezo wa kubeba hadi watu 510 kwa wakatiu mmoja.
 Image may contain: sky and outdoor

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM