Thursday, 17 August 2017

JE Kwanini Watumishi wa Mungu Hawamuelewi Goodluck Gozbert Katika Uimbaji wake?Praise the lord..

Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.

Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii wakidunia nyimbo kama baraka prince na wengine...

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu kwenye nyimbo zake

Nyie mnamuelewaje kwani??? Anaimba nyimbo za Dini au za kidunia?

By Herufi Kubwa/JF

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM