Saturday, 12 August 2017

Hello from Tanzania, Instagram – Bill Gates

Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates amejiunga na mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa Tanzania na kuweka baadhi ya picha alizopiga akiwa nchini humo.
Bill Gates anatumia jina ‘thisisbillgates’ baada ya ‘billgates’ kuwa na mtumiaji mwingine.
Bill Gates wiki hii alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo. Pia bilionea huyo alionana na Rais John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam na kueleza nia yake ya kuisaidia Tanzania katika shughuli za maendeleo ambapo kupitia foundation yake alitoa msaada wa tsh bilioni 777.
Kwa miaka 23 Bill Gates amekuwa namba moja kwenye orodha wa watu matajiri zaidi duniani ya FORBES.
Bill Gate kupitia post yake ya kwanza akiwa Instagram, 
#thisisbillgates>Hello from Tanzania, Instagram!
I just had a great lunch with some amazing kids at Kicheba Primary School in Muheza and met Upendo Mwingira, a remarkable physician who has dedicated her career to fighting neglected tropical diseases.
Melinda and I have been coming to Tanzania for many years now. I always love seeing how much progress the country has made to improve health and provide opportunity. Plus, the scenery is stunning.
Whenever I travel to places like this, I wish others could come along and meet the people I get to meet. I have no doubt it would leave them as optimistic as I am about progress happening around the world. I’ll be sharing photos from my adventures here on Instagram, and I hope you’ll follow along.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM