Wednesday, 11 January 2017

YULE MTANGAZAJI MREMBO KULIKO WOTE ALIYEMTONGOZA RAIS WA NCHI,,NI HUYU HAPA

Doreen Komuhangi
Mtangazaji Doreen Komuhangi ambae ameingia kwenye list ya watangazaji wazuri nchini  Uganda anayefanya kazi katika kituo cha NBS TV, Mrembo huyo kupitia akaunti yake ya twitter aliandika juu ya kuvutiwa kimapenzi kutokana na ufanyanyi kazi wa Rais Uhuru Kenyatta Kutoka Kenya na aliandika kama ifuatavyo Doreen Komuhangi
 “The way that guy does his things..oh my God, am in love. he is a true Gentleman.”

Hizi hapa chini ni picha zake mwenyewe mwangalie jinsi alivyo mzuri.
Doreen Komuhangi

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM