Monday, January 2, 2017

WEMA SEPETU AANZA MWAKA 2017 HIVI AFUTA PICHA ZAKE ZOTE HUKO INSTA SABABU HAIJAJULIKANA

http://citizentv.co.ke/wp-content/uploads/2015/08/WEMA.jpg
Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?

Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.


Japo haijajulikana sababu ya kuamua kufanya hivyo, uwezekano kwamba ameamua kuukaribisha mwaka mpya kwa kupost picha mpya ni mkubwa.
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.