Tuesday, January 10, 2017

Wakenya Wamsuta Rais Kenyatta Mtandaoni


Watumiaje wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakimsuta Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufuatia hatua zake za kuzindua miradi.


Wakosoaji wanasema kuwa baadhi ya miradi ilizinduliwa na Rais Kenyatta ilikuwa ikiendelea au tayari ilikuwa imezinduliwa.


Wengine nao wanasema kuwa hatua hiyo iko chini ya hadhi ya rais.


Wiki iliyopita bwana Kenyatta ambaye atawania urais tena mwezi Agosti alikuwa mjini Mombasa ambape alizindua daraja.


Baadhi wa watumiaji wa mtandao wa Twitter wametumia uzinduzi huo kama chanzo cha kumsuta rais.


Wakitumia #UhuruChallenge, wamechapisha mifano yao ya vitu walikuwa wakizindua.


 Ujumbe unaomsuta Rais Kenyatta


 Ujumbe unaomsuta Rais Kenyatta


 Ujumbe unaomsuta Rais Kenyatta


 Ujumbe unaomsuta Rais Kenyatta


 Ujumbe unaomsuta Rais KenyattaMaeneo kadha ukiwemo mji mkuu Nairobi, pwani na maeneo ya kaskazini mwa nchi yamekuwa yakikumbwa na ukoseu wa nguvu za umeme hali iliyosababisha rais kusutwa zaidi
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.