Tuesday, 3 January 2017

Rapper Feature auanza mwaka mpya kwa style ya Wema Sepetu


Rapper wa Marekani, Future ameamua kuuanza mwaka mpya wa 2017 kwa kufuta picha zote kwenye mtandao wa Instagram.

Akaunti ya rapper huyo ina followers wapatao milioni 8.7 huku akiwa amemfollow mtu mmoja pekee ambaye ni Dj Esco.


Future anaungana na malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ambaye na yeye aliamua kuuanza mwaka kwa kitendo kama hicho cha kufuta picha zake kwenye mtandao huo

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM