Sunday, 1 January 2017

RAIS MAGUFULI AONGEA NA MLEMAVU KUTOKA BUKOBA KIJIJINI KWAKE CHATO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Bw. Ashraf Ramadhani, mlemavu kutoka Bukoba mkoani Kagera, aliyemtembelea kijijini kwake Chato mkoani Geita ambapo alikaa na kumsikiliza changamoto za kimaisha anazokumbana nazo.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM