Monday, 2 January 2017

PICHA:RAIS MUGABE AKIMSALIMIA MWALIMU WAKE ALIYEMFUNDISHA SHULE YA MSINGI MWAKA 1931.

Image may contain: 1 personHapa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe alikutana na Mwalimu wake aliyemfundisha shule ya msingi mwaka 1931, mwalimu huyo sasa hivi ana miaka 119.

Hii inaonesha umuhimu wa walimu, hebu tukumbushane hapa, ni mwalimu nani aliyekufundisha shule ya msingi ambaye huto msahau???
TAZAMA:NIMEKUWEKEA VIDEO MSANII WA BONGO MUVI DR CHENI ADAI HAJAWAHI KUCHEPUKA NJE YA NDOA

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM