Monday, January 2, 2017

PICHA:HUU NDIO MUONEKANO WA NANDO WA BIG BROTHER 2013 BAADA YA KUATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYAImage may contain: 2 people
Ni kijana aliyeshiriki big brother mwaka 2013, kama mwakilishi wa Tanzania, kutokana na hali ngumu ya maisha kijana huyu alijidumbukiza kwenye janga kubwa la matumizi ya madawa ya kulevya

Kwa sasa hali ya Afya ya Nando si nzuri imezorota kutoakana na matumizi ya madawa ya kulevya yaliyo kithiri,

Hii iwe kama kengele kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio “ujanja” ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lakini majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.