Friday, January 6, 2017

NICKI MINAJ NA MEEK MILL WAMWAGANA RASMIHuu mwaka huu ni shidahh, Wolper alitumia kurasa yake ya Instagram kusema Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate loveRapper Nicki Minaj nae amefunguka kwenye kurasa yake ya Twitter kwamba “To confirm, yes I am single,”

Baada kuwa na tetesi nyingi mitandaoni kuhusu penzi la Meek na Minaj kuwa halipo, Sasa tunaweza kusema kwamba penzi la Nicki Minaj na Meek Mill ni officially limeisha, ishu hiyo ambayo inatufanya sisi tuamini kwamba wawili hao hawako tena pamoja ni kutokana na tweet ambayo aliitoa Nicki Minaj jana tarehe 5, Alhamisi kwa kusema kwamba “To confirm, yes I am single, Focusing on my work & looking forward to sharing it with you guys really soon. Have a blessed New Year. Love u.”

Kutengana huko kumekuja baada ya video ya Meek Mill kujirekodi live video kwenye Instagram kwa kusema kwamba “I need love” huku akiwa anasikiliza ngoma ya  LL Cool J’s classic.
Wengi hatufahamu mahusiano yao yalianza vipi ila tunachojua ni kwamba wawili hao walianza kuonyesha mapenzi yao hadharani mwaka 2015, kuvunjika kwa mahusiano yao kulianza kugunduliwa taratibu baada ya wawili wote kumunfollow mwenzake kwenye page zao za Instagram.
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.