Tuesday, 3 January 2017

Mtoto anayesumbuliwa na kansa amepewa tuzo ya heshima ya goli bora la EPL December

Mwishoni mwa mwaka 2016 moja kati ya stori zilizokuwa katika headlines kwa wapenda mchezo wa soka duniani kote, stori ya mtoto mwenye umri wa miaka 5 Bradley Lowery ambaye pia ni shabiki wa timu ya Sunderland ya England.
Bradley Lowery ambaye alikuwa anachangisha pesa kwa ajili ya kupambana na tatizo lake la kansa, timu ya madaktari iliripoti kuwa mtoto huyo atakuwa na miezi kadhaa ya kuishi kutokana na tatizo lake la kansa lilipofikia.
image
Leo January 2 2016 Bradley ambaye alipewa nafasi ya kucheza katika uwanja wa Stadium Light kabla ya mchezo wa Sunderland dhidi ya Chelsea amepewa tuzo ya heshima ya goli bora la mwezi December 2016 la Ligi Kuu England.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM