
Baada
ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja
baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa
wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman.
Hemedy
Suleiman kuzugumzia madai hayo……‘Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa
sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi
akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini
ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya’
No comments:
Post a Comment