Tuesday, 3 January 2017

MASHABIKI WAMLILIA YOUNG D BAADA YA MENEJA WAKE KUDAI AMERUDIA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA


Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.
Young Dee akiwa na meneja wake Max mwanzilishi wa label ya MDB
Taarifa hiyo imekuja katika wakati ambao mashabiki wengi wa muziki waliamini kuwa rapper huyo ameachana na matumizi ya unga, kama alivyoahidi mwaka uliopita alipozungumza na waandishi wa habari.
Max anadai amejaribu kila awezalo, lakini sasa ameamua kunawa mikono. Amezitoa taarifa hizo Instagram alipokuwa akichat na msichana aitwaye Wendy Eliah.
Kwenye post yake ya Instagram, Max aliandika ujumbe toka kwenye biblia: Walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung`uta mavazi yake mbele yao akisema, “Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa mengine.” Matendo Ya Mitume 18:6 NENO LA BWANA LIMENENA. KILA MWENYE SIKIO NA ASIKIE….
Baada ya kuenea kwa taarifa hizo, mashabiki wameenda kwenye ukurasa wa Instagram wa rapper huyo kumpa ushauri.
Crown_princess_shorla
Munaoleta hiki kiama kwa wapendwa wetu na kutusonononesha kiasi hiki, roho wa Mungu yu mbele yenu, kiama kitawaangamiza soon, kumbukeni mnaowaumiza walizaliwa, wanawazazi wana mama ambao waliteseka miezi Tisa tumboni na mwisho kuingia labour kwa uchungu wa kufa kupona kuwazaa hao watoto, nawaapia chozi la mama hawa Mungu hatolipa mgongo atawaadhibu, kazaneni kuwauwa watoto wa wenzenu kwa kutaka utajiri wa haraka, moto na hasira ya Mungu I juu yenu, @youngdaresalama my brother don’t do that to your poor daughter and her mother, they really need you more than anyone in this world, plz stop this stupid act, grow up brother we don’t wanna loose you, it’s not too late to change my dear! @maximilianrioba don’t give up on him brother at least pray more for him najua lililo gumu kwa mwanadamu Mungu anajua utatizi wake, even if hatokuelewa na nguvu za Mungu atasimama kutete naye. Tuwaombee zaidi kuliko kuwakatia tamaa, najua inavunja moyo but tutambue hata Mungu hajawahi kutukatia tamaa wanadamu na maudhi yetu yote, let us pray for them! For really inaumiza Sana but they our people, our brothers and our family too.
spycedollydoll
Please don’t go back in Da hell that brought you so much regreats u a good man please do the best and prove wrong people who thought you can’t take care of ur baby princess
ireneemoshi
We mtoto wewe, kwann mnapenda kuwapa.shida wazaz.wenu unafkir mama aliye kubeba miez TSA tumbon anajickiaje ukiharbika wewe, yan kma umerudia matapishi acha aisee unapotea kabsaaa umepata mtoto hem mleee huyo, ukiwa kichaa nan atamuhudumiaa, mbona ujana unakupeleka pabaya namna hyo unapte ujue ur still young, kwan shida n nn mpaka uanze kula vtu vya ajabu watu tunaumia kuona vjana mnaharbikiwa bado wadogo jenga maisha yako acha makundi yasiyo na msng hao wanakupotoshaa tuu hem kuwa kioo cha jamii, au una umekumbwa na pepo, hem mkatae shetan cmama mtoto wa kiumee jenga familia wewe ushakuwa baba, kama ni kweli unaapiga hzo mambo kisr achaaaa, wapote dogoo hem angalia picha za jinsi ulivokuw mwanzo na sasa, je unataka kurud ulpotokaaa.
ms._wise_always
@youngdaresalama Acha ujinga dogo , ww ni baba now … ww sio mtu wakutoa watu machozi tena? wewe hujui unathamani gani? au ni makusudi unataka kijana wa watu ajute?@maximilianrioba Kweli unamtia kwenye majonzi namna hii acha upuuzi ww ni mtu mzima now , You shud standup and be ambassdor of others like Nando and Chidy and also stand for your Tamar also but WHY?
syper_jr
I cant judge you niggha mwenye haki ya kuongelea your lyf n watu ka kna max wanaokufaham vzuri ila yo still a great rapper af una Tamar baharia langu sooo watever u du all remember is yu have a life n a beautiful babydaughter…..nakumbuka max once cried kweny interview clouds sooo no body can make him change his mind kukusupport mpaka ue back again in line siamin if max iz that dumb mpk kupost hii issue yenu insta a only hope he meant by postin uku atha ppo gotta try tu b on yo side bruh..all the best mwanangu D don give up on your kid
wavy_lord_
@youngdaresalama nigga you started cool unataka utuangushe get the fuck out that shit brother Again get the fuck out nigga that shit aint cool i feel like crying right now @maximilianrioba this shit is fVCkn sad
Jitihada za kumtafuta Young Dee ili aelezee kinachozungumzwa zinaendelea.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM