Monday, 2 January 2017

Je Young Dee bado anatumia madawa ya Kulevya? Meneja wake Apost Meseji yenye Utata

https://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/yUN-dEEE.jpg
Je Young Dee bado anatumia madawa ya kulevya? Ni swali la kujiuliza baada ya meneja wa Young Dee kupost picha hiyo yenye maneno aliyoambiwa kuhusu mtu wake anayeishi naye nyumbani ambao wengi tunajua ni Mwanamuziki Young, kuwa mtu huyu anaendelea kutumia madawa kwa siri...

Katika caption ya picha hiyo Max ameandika haya:
From @maximilianrioba - Sina cha kusema! I will never feel sorry again! Never, ever!

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM