Wednesday, 4 January 2017

JE UNAFAHAMU KUWA INAWEZEKANA MTU KUFA MWAKA HUU NA KUZIKWA MWAKA JANA ?.

  Ndege ya shirika la Marekani UA890 Boeing 787-900 ilitoka mashariki mwa dunia huko Shanghai wakati mwaka ushabadirika na kuelekea magharibi mwa dunia huko San Fransisco ambako siku bado haijabadilika, hivyo ikafanikiwa kuweka rekodi ya kuruka tarehe 1 Jan 2017 na kutua tarehe 31 Dec 2016.
Hivyo kama angekuwa mtu amefariki China na kusafirishwa na ndege hii UA890 Boeing 787-900 kwenda San Francisco huko America angekuwa amekufa mwaka huu na kuzikwa mwaka jana.

Nothing impossible under the Sun

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM