Friday, 13 January 2017

BONDIA FRANCIS CHEKA KUZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JUMANNE TAREHE 17 KUHUSU KUFUNGIWA KWAKE NA TPBC


Ameandika kupitia ukurasa wake wa facebook
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HABARINI ZA LEO MIMI NI MZIMA WA AFYA NAPENDA KUWATAARIFU JUMANNE TAREHE 17 JAN 2017 SAA 5 ASUBUHI MPAKA 6 MCHANA NATIONAL (ZAMANI CHANG'OMBE VILLAGE) NTAKUA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KUFUNGIWA KWANGU MIMI FRANCIS CHEKA NA TPBC.WATAKUWEPO PIA JAY MSANGI,YASSIN ABDALLAH-TPBO EMMANUEL NLUNDWA-PST WATAONGEA PIA KUHUSU HILI.AHSANTENI SANA

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM