Saturday, 14 January 2017

Diamond Apata Mapokezi Makubwa Huko Gabon ,Apokelewa na Rais wa Nchi Hiyo


diamond-3
Diamond akiwasili nchini Gabon.
MKALI wa Afro Pop, Diamond Platnumz jana alitua nchini Gabon na kupkelewa na rais wa nchi hiyo, Ali Bongo ambapo msanii huyo anatarajiwa kufanya shoo kubwa kwenye uzinduzi wa Mashindano ya AFCON nchini humo yanayoanza leo.

Katika mechi za ufunguzi Kombe la AFCON, leo michezo miwili itapigwa ambapo wenyeji Gabon watakuwa wakimenyana na Guinea-Bissau saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Angondje huku Burkina Faso wakikipiga na Cameroon saa 4:00 usiku kwenye uwanja huohuo.
diamond-4
diamond-5
Diamond akiwa katika picha ya pamoja na Rais Ali Bongo wa Gabon pamoja na msanii wa Nigeria, David Adekeye ‘Davido’, Akon pamoja na wasanii wengine na watoto nchini humo.
diamond-2 diamond-3
Rais wa nchi Gabon, Ali Bongo akisalimiana na Diamond Platnumz.
diamond-4
Diamond Platnumz akisalimiana na Akon.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM