Wednesday, January 4, 2017

CHRIS BROWN NA SOULJAL BOY WAINGIA KWENYE BIFU ZITO KISA KARUACHE

Kama utakumbuka ni muda umepita tangu staa Chris Brown aachane na ex-girlfriend wake Karueche, na wawili hawa hawajaonekana pamoja kwa muda.
Headlines zimesambaa baada rapper Soulja boy kutumia ukurasa wake wa Twitter na kuandika kuwa Chris Brown alimpigia simu na kumwambia atampiga kisa ame-LIKE picha za Karueche Instagram.
soulja-boy1
Baada ya video hiyo ya Soulja boy ambayo pia alimkumbushia Chris kwamba ‘kisa ulimpiga Rihanna unadhani unaweza kumpiga kila mtu, mimi nitakupiga
Chris Brown alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwambia Soulja boy aache unafiki, aache kuongelea stori za Rihanna kwasababu huu ni mwaka mwingine hayo mambo yalishapita na kama vipi yeye ataandaa mchuano wapigane kabisa kama ndicho anachotaka.
A video posted by 1 YOU ❤️ 2 HATE (@chrisbrownofficial) on 
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.