Sunday, 1 January 2017

Blogger Lewis Mbonde:Chid Benz unahitaji kufanya maamuzi mwenyewe ili kuacha kutumia madawa ya kulevyaa

Chid Benz unahitaji kufanya maamuzi mwenyewe ili kuacha kutumia madawa ya kulevyaa na uludi ktk afya yako ya kawaida.Utayari wako kuacha ni muhimu Mtu mwingine hawezi kukufanya uache yatakua yaleyale unapelekwa sober kabla hata ya kumaliza tiba unaondoka.Watu wanaweza kuwa tayari kukusaidia ila kama wewe mwenyewe haupo tayari ina maana utaenda tu sober kwakua haupo tayar kuachaa ukirudi mtaani unayarudia tenaa itakua sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Blogger:Lewis Mbonde

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM