Monday, 19 December 2016

WITNESS: MSAMBWANDA WANGU WA KINYAKYUSA ORIGINAL


15258603_717075135134969_4507325799262584832_n
Witness ambaye ni rapper wa hapa bongo amewajia juu mashabiki wanaomsema vibaya kutokana na umbile lake, na kusema wanachukia kuona wanapendana na mpenzi wake Ochu Shegy licha ya ubonge alionao.
15258603_717075135134969_4507325799262584832_n
Witness
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Witness ameandika waraka akiwaambia watu hao kuwa hajali wasemayo, kwani umbile lake hilo ndilo alilopewa na Mungu ‘original’, na sio mchina kama wao.
“Wakati mwingine watu hawanichukii mimi huchukia namna tunapendana mpenzi wangu Ochushegy, wanasema mineno kibao, roho zinawauma mpaka wanaona ni heri waanze kuni attack kwa kunitukana na wanaanza kunisakama nia yao siyo nipunguze mwili, nia yao nipunguze tako langu la kinyakyusa a.k.a #msambwanda, basi nina waahidi nitapungua kote siyo tako langu la kinyakyusa, sijalinunua dukani nimezaliwa nalo, not chinese not imported, ndo maana sijisumbui kununua wala kuongeza matako feki kama nyie”, aliandika Witness.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM