Saturday, 31 December 2016

WAFAHAMU MAMA G.CATERING SERVICES KWA KIFUPI
SISI NI KAMPUNI HALISI TUNAYOJISHUGHULISHA NA HUDUMA ZA VYAKULA KWA MUDA MREFU. KAMPUNI HII INA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 10 MPAKA KUFIKIA LEO 2016. MAMA G.CATERING ILIANZISHWA MBEYA MJINI MWAKA 2005 NA KUJIPATIA UMAARUFU MKUBWA JIJINI MBEYA HADI MWAKA 2013 TULIPOHAMIA DAR ES SALAAM. KAMPUNI YENU NI WAKONGWE WAZOEFU KATIKA FANI YA UPISHI. TUNAVYO VYOMBO VYA KISASA VYA KUTOSHA KUHUDUMIA WATU ZAIDI YA 1000. KAMPUNI YETU IMESAJIRIWA KISHERIA BRELA, TRA, NA GPSA. TUNA AKAUNTI YA BIASHARA KATIKA BENKI YA MAENDELEO BANK TAWI LA MWENGE. TUNAO WAPISHI WALIOSOMEA HOTEL MANAGEMENT NA KUFAULU VIZURI WANAOJITAMBUA! TUNAO WAHUDUMU WENYE SIFA ZOTE ZA KUMUHUDUMIA MTEJA AKARIDHIKA. TUMEPATA VYETI VINGI VYA USHINDI TUKITUNUKIWA KWA AJILI YA KAZI ZETU. MOJA YA SIFA ZILIZOTUPATIA SIFA KWA CHAKULA CHETU NI UBUNIFU WA KUPIKA VYAKULA VYA ASILI VINAVYOLIWA NA MAKABILA MBALIMBALI HAPA TANZANIA NA MATAIFA YA KIGENI. KINGINE NI UBUNIFU WA MAVAZI YETU SARE ZA KAZI. TUKO TOFAUTI SANA NA MAKAMPUNI MENGINE YA UPISHI NCHINI. KINGINE NI BEI ZETU NI NDOGO SANA UKILINGANISHA NA UBORA WA KAZI ZETU. SISI TUNAMSIKILIZA MTEJA NA KUKUBALIANA NAE NA KUMSHAURI KULINGANA NA UWEZO WA BAJETI YAKE. KWA SASA OFISI ZETU ZIKO KARIAKOO MTAA WA MUHONDA NA DDC NDANDA. KWA MAWASILIANO TUPIGIE AU TUMA MSG ZA KIKAZI TU **0652887267* MKURUGENZI 0673 538 583 MENEJA/AFISA MASOKO 0765 852050 MWEKA HAZINA. *** KAULI YETU MBIU. AFYA YAKO NI DHAMANA YETU.*** WAHI KUTOA ODA LEO, WOTE MNAKARIBISHWA.Image may contain: 6 people

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM