Wednesday, 28 December 2016

Vera Sidika: Wabongo mbona mlikuja na suti na majeans kwenye beach party?

Mrembo wa Kenya Vera Sidika aliyekuwa mmoja kati ya mahost kwenye show ya Wasafi Beach Party iliyofanyika Disemba 24, Jangwani Sea Breezy jijini Dar es Salaam, ameshangazwa na mashabiki waliotokea kwenye show hiyo.
Vera ametumia Snapchat kuonyesha kushangazwa na kilichotokea kwa mashabiki kwenye upande wa mavazi badala ya kuvaa nguo ambazo haziendani na mandhari ya beach kama show yenyewe ilivyokuwa ikimaanisha.
Hata hivyo show hiyo ilienda poa huku ikingozwa na mahost warembo Vera na Anita Fabiola wa Uganda.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM