Monday, 12 December 2016

TUZO 3 Alizoshinda ALIKIBA Zamfanya Mwanamuziki AT Ajikojolee Kitandani....

Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo na kutupia picha insta.

Una neno gani kwa AT?

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM