Saturday, 31 December 2016

TAZAMA PICHA ZA MFALME MPYA WA THAILAND ZILIZOZUA GUMZO MTANDAONIBaada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto wa Mfalme huyo ajulikanae kama *Maha* mwenye umri wa miaka 64 pichani akiwa na hawara yake ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, kama Mfalme mtarajiwa wa Thailand.


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM