Wednesday, 7 December 2016

PUMZIKA KWA AMANI BRO ORESTO MBONDE "DINGI"


We missed u bro Oresto Mbonde "Dingi" nakumbuka tukiishi pamoja Mazimbu na Kihonda uliponiacha na Morogoro mm nilikuja kuishi kwa ushawishi wak.So sad huwa bado siamini kama hatuko wote,mama pia bado haamini bro john naye haamini rafiki yako kipenzi alsen naye bado haamini ndiye kaka angu uliyeniachia morogoro kwani tumeishi naye vzur tokea dodoma na yuko karibu na mm mpaka sasa.Familia nzima kwa ujumla bado haiamini kama kweli hatuko wote tenaaa.Ntajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa sapoti watoto wako uliotuachia Tina na Guro.Kama ulivyonisapoti wewe mpaka unaondoka duniani kwani ulikua na roho nzuri sanaa na ulikua unanipenda sanaa tokea tukiwa dodoma,singida mpaka moro na ndio maana nilikua nakuita dingi.kutofautiana ktk maisha kwa sisi binadamu ni kawaida kwani hakuna aliyekamilika nimekusamehe nami pia unisamehe pale nilipokukosea.mbele yako nyuma yetu.So sad No way Mungu akulaze mahali pema peponi #Munguamewaonawalewotewaliohusikakumuakakayangukikatili
#Tenabilayahatia

 #Nabilahurumanahofuyamungu
#Tumemuachiamunguatawahukumu
#Dunianiwotetunapita
#Tutakukumbukadaima

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM