Friday, 9 December 2016

PRINCE RIAZ MTOTO WA DIAMOND AWA GUMZO MTANDAONIPrince Riaz mtoto wa pili wa Diamond aliyezaa na Zari mwenye jumla ya watoto watano hadi sasa aanza kupagawisha watu kwenye mitandao ya kijamii. Star mpya Afrika Mashariki huyu mwenye siku 3 tu toka azaliwe ameanza kuvunja rekodi mbalimbali katika mitandao ya kijamii. 
Moja ya rekodi aliyoweka ni kufikisha follow 26000 katika mtandao wa instagram. Kama ilivyokuwa kwa dadaake Tiffah nae amekuwa na mwendo huo huo.
Rekodi hii ameiweka ikiwa Diamond bado hajatia mkono wake kumsapoti mwanae, ni Zari na Tiffah tu ndio walianza kufollow Prince Riaz

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM