Sunday, December 11, 2016

Picha: Red Carpet ‘Usiku wa Tuzo za EATV’ – Mlimani City

Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam. img_9054 Jux akiwa Vanessa
Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameshawasili katika ukumbi huu kushuhudia utowaji wa tuzo hizo.
Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu nchini usiku huu.
Hizi ni baadhi ya picha za red carpet. img_9127 Joh Makini

img_9053
img_9056
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.