Tuesday, 27 December 2016

Obama: Ningewania Urais ningeshinda, Trump amjibu!


Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama, amesema kama angekuwa anawania Urais mwaka huu, anaamini angemshinda Donald J. Trump.
Alisema hayo kwenye mahojiano yaliyotolewa Jumatatu na David Axelrod, rafiki yake na mshauri wake wa zamani.
“I’m confident that if I — if I had run again and articulated it, I think I could’ve mobilized a majority of the American people to rally behind it,” Alisema Obama.
“I know that in conversations that I’ve had with people around the country, even some people who disagreed with me, they would say the vision, the direction that you point towards is the right one,” aliongeza.
Masaa kadhaa baadaye baada ya kauli hiyo ya Obama, Rais mteule, Trump alitumia Twitter kujibu: President Obama said that he thinks he would have won against me. He should say that but I say NO WAY! — jobs leaving, ISIS, OCare, etc.”

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM