Friday, 2 December 2016

MWAMVITA MAKAMBA ADAI KUTAPELIWA NA MBUNIFU WA MITINDO SHERIA NGOWI


Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi.

SHERIA NGOWI

MWAMVITA MAKAMBA
Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesha kipindi kipya mjini cha Papo Kwa Papo na Papi kinachoruka kila jumatano saa 3 kamili usiku kupitia YouTube na kinakuwa Mubashara.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM