Saturday, December 17, 2016

MTOTO WA MIAKA 5 ALIYEBAKIZA MIEZI MIWILI YA KUISHI DUNIA AOMBA ZAWADI YA KADI YA XMASS TU ILI APUMZIKE KWA AMANIMtoto huyu anaitwa, Bradley Lowery, ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Sunderland.

Ana miaka mitano na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi
zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi.

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley.

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi, kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.

#Everybody dies but not everyone has lived..So sad
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.