Wednesday, December 28, 2016

MREMBO KARRUECHE AMTOA UDENDA EX WAKE CHRIS BROWN
Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila nyendo za mrembo hiyo ikiwemo kuwamind wanaume wanaommendea.


Mrembo huyo ambaye baada ya kuachana na Chris Brown anaonekana kuwa bado yupo single, amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuweka caption rahisi ‘Baby.’
Kwenye picha hiyo, mrembo huyo anaonekana amevaa t-shirt nyeusi yenye picha za muimbaji wa UK, Sade na pia akiwa amevaa nguo ya ndani pekee yenye rangi nyekundu.
Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment: Still want it.”
Pamoja na jitihada zote za kutaka kumrudisha Karrueche kwenye himaya yake, Chris Brown amekuwa akiambulia patupu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.