Tuesday, 20 December 2016

MAMA MZAZI WA MR.NICE AFUNGUKA HAYA KUHUSU TETESI ZA KIFO CHA MWANAE


Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki na mwili wake upo Hospitali ya Taifa Muhimbili.  Mama Mzazi wa Mr. Amesema Haya:


“Kusema ukweli hayo mambo yalisemwa lakini mimi nilizungumza na mwanangu live akasema yeye ni mzima wa afya mimi sikusikia kwenye vyombo vya habari nilisikia watu wakisema ndio nikataka anipigie simu ili niweze kujua hali yake ikoje. Alinipigia tukazungumza” – Mama Mr. Nice

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM