Wednesday, 7 December 2016

LORI LAPATA AJALI MLIMA WA SEKENKE MKOANI SINGIDA

Lori likiwa limeanguka baada ya kupata ajali mlima wa Sekenke mkoani Singida mchana wa leo.Picha kwa hisani ya mdau Benjamin Kasenyenda Andongolile
Ajali hiyo inadaiwa ilitokana na madereva mmoja wapo kuyapita magari mengine katika eneo hatarishi.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM