Friday, 30 December 2016

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA OMMY DIMPOZI.TUPIA NENO

Ommy Dimpoz ameamua kuja na style mpya ya nywele zake.
Hitmaker huyo wa Kajiandae amepost picha kwenye mtandao wake wa Instagram inayoonyesha akiwa na staili mpya kwenye nywele zake ambayo mashabiki hawajazoea kumuona nayo akiwa ameziweka rangi (breach).
Kwa mujimu wa maneno aliyoandika Dimpoz kwenye mtandao huo inaonyesha kuwa KANYE West ndio amemshawishi kufanya hivyo.
“Kanye Alivyobadili Nywele tu akaonana na Trump na mimi natest zari kama ntaonana na Magu ,” ameandika Ommy kwenye mtandao huo.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM