Friday, 30 December 2016

Haya ndio Maisha ya Prof. Mark James Mwandosya Kijijini Kwake Lufilyo, Busokelo, Wilaya ya Rungwe Mbeya


Image may contain: mountain, sky, outdoor and nature 
Glad to have received visitors from Malawi at our home in Lufilyo Village, Busokelo. From left: Mzee Mwandosya from Karonga; Frank, aide-camp of Kyungu; Ambassador Archbold B. Mwakasungula, from Karonga; Max Mwandosya; Lusekelo Mwandosya; Mark Mwandosya; Lucy Mwandosya; HE Mwakabanga III and Kyungu XXIV, Paramount Chief of Karonga and Chitipa, Malawi; Mwehe Rhoda Mwakasungula; Emmanuel Mwandosya; Sekela Mwandosya;Tusekile Mwandosya; and Maria Mwandosya
 Image may contain: 9 people, people standing, tree, outdoor and nature

 Shambani Kilugu
 Image may contain: 1 person, standing, tree, outdoor and nature

 Image may contain: 1 person, standing, tree, outdoor and nature


 Akisubiri zamu yake kupiga kura Oct 25, 2015. Lufilyo, Busokelo
 Image may contain: one or more people, people standing, tree and outdoor

 Image may contain: one or more people, people standing, hat and outdoor
Anaandika Prof. Mark James Mwandosya:-Ili nisichelewe, nachukuwa nafasi hii kuwatakia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya zilizojaa neema, upendo na amani. Tusherehekee mwisho huu wa mwaka 2016 kwa kukumbuka na kushukuru jinsi Mola alivyotupenda kutupa uhai kuifikia siku ya leo, tukiwakumbukuka wenzetu ambao hatunao, wakiwa wametutangulia mbele ya haki. Kwa wale mtakaokuwa Nyanda za Juu za Kusini, na hakika popote pale, karibuni nyumbani kwetu, kijijini Lufilyo, Busokelo, Wilaya ya Rungwe👇.
Wishing you All a Joyous Chrismas and a Happy and Blessed New Year.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM