Thursday, 29 December 2016

FRANCIS CHEKA:PENYE UKWELI SIKU ZOTE UONGO HUWA UNAJITENGA

Ameandika kupitia account yake ya facebook
 
Habarini za muda huu mm ni mzima wa afya.Penye ukweli siku zote uongo huwa unajitenga.Toka lini mikataba ya michezo inakua jinai.Swala la mkataba wa michezo haiwezekani ikawa jinai.Polisi mnatakiwa kusikiliza pande zote mbili kwa umakini na sio kuegemea upande mmoja tu.Kutaka kumaliziwa pesa ndio nipande ulingoni kama tulivyokubaliana ndio jinai??.Shukrani zangu kwa mkuu wa kituo kikuu cha Polisi Morogoro kwa kutenda haki na pia nawapongeza sanaa polisi wote wanaofuata sheria na haki za raia pasipo kuegemea upande wowote.Nawapendeni sana mashabiki wangu mm nipo imara na ntaendelea kufanya vizuri.Naombeni mzidi kuwa na imani na mimi.Nawatakieni usiku mwemaa

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM