Wednesday, 14 December 2016

Francis Cheka:"Wewe dogo Mm sio wa mchezomchezo waulize niliowapiga watakuambia usinichukulie poapoa medali ya olimpiki sio kitu kwangu mm ni bingwa wa dunia"

"Wewe dogo Mm sio wa mchezomchezo waulize niliowapiga watakuambia usinichukulie poapoa medali ya olimpiki sio kitu kwangu mm ni bingwa wa dunia inter-continental champion dec 17 utajua ni kwa nini mm naitwa bingwa wa dunia" ameandika francis cheka kupitia account yake ya facebook

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM