Wednesday, 21 December 2016

Faru John Azidi Kuibua Mzozo..

Image may contain: textNo automatic alt text available.
Wahifadhi wa eneo la Sasakwa Singita Grumet ambako ndipo alipohamishiwa Faru John wamesema kuwa hakuna kaburi la Faru huyo kwa kuwa hakuzikwa, wamesema kitaalamu wanyama ambao wanakufa bila kuwa na magonjwa ya mlipuko katika maeneo ya hifadhi hawazikwi.
- Wamesema Faru John baada ya kufa aliondolewa pembe zake na kutupwa ili kiwe chakula cha wanyama wengine wanaotegemea mizoga, lakini kuna mifupa yake

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM