Friday, 30 December 2016

Dereva wa Bodaboda Aliyembeba Mmiliki wa Nyoka wa Ajabu aliyefariki Songea Afunguka A-Z

Tukio lililozua taharuki kwa wakazi wa Songea mkoani Ruvuma na kupewa nafasi kubwa katika vyombo vya habari vya Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na mitandao ya kijamii, huku likiacha gumzo midomoni mwa watu, kuhusiana na kifo cha Denis Komba kufariki dunia baada ya nyoka wake aliyekuwa anasadikiwa kummiliki, kuuawa na wananchi DESEMBA 26.
Ruvuma TV imezungumza na KASIANI HAULE, ambaye ndiye dereva boda boda aliyekuwa kakodiwa na marehemu DENISI KOMBA Bonyeza hiyo Video upate ukweli wa tukio.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM