Sunday, 18 December 2016

DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:


https://i2.wp.com/www.groupkenya.com/wp-content/uploads/2016/06/Couple-after-argument2.jpg?w=640 1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati
mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu
yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.
Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM