Tuesday, December 13, 2016

BONDIA FRANCIS CHEKA AMEONDOKA JANA KWENDA INDIA KUWANIA UBINGWA WA WBO


Francis Cheka na Promota wake Jay Msangi

BONDIA Francis Cheka, ameondoka nchini jana kuelekea india ameambatana na kocha wake Abdalah Salehe "komando" na promota wake Jay Msangi anatarajia kupanda ulingoni Desemba 17 kuwania ubingwa wa WBO dhidi yake na Bondia, Singh, katika pambano linalotarajia kupigwa nchini India katika Uwanja wa THYAGARAJ STADIUM -NEW DELIH nchini INDIA.
Mpinzani wa Cheka ni Bingwa wa Olympic aliyeibuka na Medali ya Shaba, ambapo pambano hilo linatarajia kurushwa Live na Kituo cha Tv cha SKY cha nchini Uingereza kwa kushirikiana na Televisheni ya Taifa ya India.

https://pbs.twimg.com/media/CxibYXqXcAAWDVR.jpg
Mtandao huu unawaomba wadau wa mchezo huo wa ngumi na Watanzania wote kwa ujumla kumuombea dua Bondia Francis Cheka ili aweze kuipeperusha Vyema Bendera ya Tanzania, kabla ya kurejea nchini kumkabili Bondia anayechipukia ,Dullah Mbabe Desemba 25.

 Bondia Francis Cheka
Kocha Abdalah Salehe Komando
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.