Wednesday, 28 December 2016

Bodi ya Mikopo Yatangaza Msako Nchi Nzima Kwa Waajiri Sugu Wasiowasilisha Makato na Majina ya Wadaiwa

https://1.bp.blogspot.com/-dVWJReoqtS8/WCqlAFkaH2I/AAAAAAABL0o/505LIdNCa18K6pAPFt89dpK7rj69Y-nbQCLcB/s1600/1.jpg
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul Razaq Badru ameunda kikosi maalumu (Task force) kwa ajili ya msako wa kuwanasa waajiri sugu wote nchini wasiowasilisha makato na majina ya wanufaikaji wa mikopo ya bodi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Badru amesema kikosi kazi hicho kitaanza kazi Januari 2, mwaka 2017 na kitafanya kazi hiyo kwa siku 14 mfululizo wakipita ofisi moja baada ya nyingine.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM