Saturday, December 17, 2016

Binti apiga picha za kihasara hasara akiwa ofisini.Jionee mwenyewe


Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kamahii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa
kuwepo hapo Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.