Saturday, 10 December 2016

BILIONEA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA GARI LA KIFAHARI HAMMER HUKO NIGERIA

 Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Huko nchini Nigeria Bilionea mmoja maarufu amemzika mama yake akiwa ndani ya gari la kifahari aina ya Hummer SUV Jeep , lenye thamani kubwa huku wakilipamba kwa kulimwagia dollar zaidi ya 10,000  wakati wa mazishi hayo kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha jeneza kaburini muda unapowadia.


Tayari wakianza kufukia gari hilo kama inavyokuwa kawaida kufukia jeneza baada ya kukamilika kwa taratibu zote.  Tajiri huyo anayeishi, mjini Enugu Nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM