Thursday, 1 December 2016

BAADA ya Weusi Kuwa na Kigugumizi Kuhusu Lord Eyes..Baraka The Prince Aamua Kumchukua Kwenye Lebo yake


Na mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.

BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo Rapper Lord Eyes

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM