Wednesday, 30 November 2016

Young Dee amebadili sana maisha yangu – Tunda

Huenda rapa Young Dee amerudiana na mpenzi wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana baadhi ya mambo.
3bd6583af5a14653b7b54db2c9fe7f3e_xl
Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii zilizagaa taarifa ya kuwa wawili hao wamerudiana.
Jumatatu hii kupitia istagram, Tunda ameandika:
“Think Positive and Positive things will happen. I am so proud of you, umeweza kubadilisha maisha yako, umekuwa mfano mzuri wa kuigwa! You’ve changed my life, i know bado sijafikia 100% but i promise kufuatisha ushauri wako and become a better me everyday. i Pray everyday Mungu azidi kukuongoza katika njia salama… You’re so blessed!,”

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM